Nina suala ambalo ninaona limewanyanyasa Watanzania wengi ingawa kwangu lilinitokea mwaka 2016. Watanzania wamekuwa wakitumia mtandao mbalimbali ya simu ikiwemo vodacom, halotel, tigo na airtel.
Ila pale mtu anapokesea kununua vocha mfano MPESA na alikuwa anataka vocha ya 10000 [elfu kumi] bahati mbaya akanunua 100000 [laki moja] naomba mitandao iweke mfumo wa mtu kuweza kurudisha kiasi fulani ili kuokoa hasara watu wanazopata.
Naomba tupaze hili kwa kupiga kura kama unaona jambo muhimu.