Mitandao ya simu bado wamegoma kurudisha vifurushi vya zamani, DG TCRA nadhani nawe hapo hapakutoshi, ukimzingua atakuzingua

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
 
Bi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleni
 
Bi mkubwa ana kazi kubwa sana mbeleni
asipokuwa mkali kidogo watamzingua na kumchezea. YEYE AFANYE KIMYA KIMYA, ANATOA AGIZO HUJATEKELEZA, MSIDWA ANATOKA NA TANZAGAZO LA KUTENGUA, BILA KELEL KAMA JIWE. WATASHTUKA
 
Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote.
Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
Fyekelea mbali woote hao
 
asipokuwa mkali kidogo watamzingua na kumchezea. YEYE AFANYE KIMYA KIMYA, ANATOA AGIZO HUJATEKELEZA, MSIDWA ANATOKA NA TANZAGAZO LA KUTENGUA, BILA KELEL KAMA JIWE. WATASHTUKA
Naunga mkono wazo ulilotoa. Hakuna haja ya kupiga kelele. Atengue uteuzi wao kwa kushtukiza. Kimya kimya
 
Sasa akifanya hivyo,si mtaanza kumuona Rais hana ubinaadamu Kama Magu alivyokua anatumbua live mkaanza na kumchukia!? Wadanganyika sijui mnataka nini!?
 
Nafikiri mlijisahau mkatamani enzi za JK zirudi Kila mtu kambare Ana masharubu,Sasa huu Ni mwanzo tu yajayo yanafurahisha.
Ukali wa JPM kwa watendaji na watu binafsi kuigomea serikali ndo alikua hataki Sasa,Vifurushi nimeambiwa vishuke Ila hakuna mwenye habari Zaid ya sound za kurekebisha mtandao tu.
Watafanywa nn wakati CHUMA kimeshasepa!!

Tanzania always hawajuagi wanachokitaka na vipao mbele vyao Ni nn
 
Hakika tumepigwa. VODACOM, TIGO wao wamegoma kabsa. Nishahamia Halotel.
 
Back
Top Bottom