Mitandao ya Simu fanyeni kama TTCL zamani-yellow pages

Mitandao ya Simu fanyeni kama TTCL zamani-yellow pages

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,735
Reaction score
8,541
Amani iwe Kwenu

Baada ya Usajili wa Line za Simu Kwa Alama za Vidole na Kitambulisho Cha Taifa,Nipende kushauri Mitandao Ya Simu, hasa Airtel ambayo Naitumia Sana, iweke namna ya Mtumiaji kujua namba ya Rafiki yake au Mtumiaji mwingine anayetaka kuwasiliana naye.

Zamani TTCL walikuwa na majitabu Fulani hivi ya njano (Yellow Pages) ambayo yalikuwa na list ya majina ya watu, kampuni na ofisi mbali mbali na namba zao za simu. Hii ilirahisisha mtu kupata Huduma za mawasiliano na mtu au ofisi au mahali popote bila shida kwa kuangalia jina kwenye kitabu hicho.

Ni muda Sasa ifanyike hivyo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom