Mitandao ya simu ifikirie kuleta vifurushi vya kushare

Mitandao ya simu ifikirie kuleta vifurushi vya kushare

Kidenga

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
233
Reaction score
676
Ni wakati mwafaka sasa kwa mitandao ya simu kuleta vifurushi ambavyo mteja atapewa option ya kulist namba za watu anaotaka watumie kifurushi alichonunua kwa pamoja. Yani kama nina mama yangu kule kijijini, mke au rafiki nikinunua kifurushi niwawezeshe kukitumia.

Hii itaondoa uhitaji wa Hotspot kwani kwa njia hii mnaweza kutumia kifurushi kwa wale mlio karibu tu hivyo haimsaidii alieko mbali.

Pili kuna vile vifurushi vikubwa ambavyo mara nyingi watu wengi hawanunui. Kama njia hii ikiruhusiwa vitanunulika kwa ajili ya kucover mahitaji ya internet kwa wanafamilia.
 
Back
Top Bottom