Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
"Let's make love "Maneno yapo mengi tu ya mbadala.
Shag
Copulate
Bang
Screw
Fuvk
Ongeza mengine
Trust me all those words can be used and still seem gentle."Let's make love "
Hii imekaa ki.gentle zaidi
Hivi ni kweli au ni rumors
😂 umenichekesha sana!
Kugegeda itakuwa poa zAidiTumia neno jingine tofauti na sex
Kwa kiswahili au sioAndika Seksi
🤣🤣🤣Andika kwa kiswahili hawajazuia mkuu
Huyo kafanya parental guide ( sensoring ) kwenye simu yake au ipo by default hajui kuiondoa.Mbona kwangu inakubali
Simu yake tu. Ni suala la settings.Mtandao gani huo mkuu? Mbona kwangu inakubali
Kwani wao wenyewe wanasemaje😂Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini?
Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini?
So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex.
Acheni utoto nyie