Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Kwanza naomba kueleweshwa hii ya TCRA kutoa amri na kupanga bei/kupandisha bei katika kampuni binafsi huru ambazo si za kiserikali hii imekaaje, maana sielewi kupitia hili tamko.
======
Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeyataka makampuni ya mitandao kulipa kodi adi asilimia 30% ya bidhaa za laini za simu zinazoingia nchini pamoja na kuwaongezea kodi ya uendeshaji wa huduma zao kutoka asimilia 12.8% adi asilimia 43.7% na kuyawekea mashart magumu ya usajili wa lain hizo.
Hii yote ni kutokana na mabadiliko ya sera ya mitandao ya serikali ya awamu ya tano.. na mtiririko wa kuzagaa kwa lain zisizo rasmi ambazo zinaleteleza kuvunja haki za wateja wao na kuibua utapeli, Aidha Mkurugenzi wa bodi ya TCRA ameziagiza kampuni za ZANTEL, VODACOM, SMART, AIRTEL, TIGO, HALOTEL NA TTCL.
Kuidhinisha bei halali ya laini ambazo hazitatofautiana kulingana na kampuni husika, hivyo basi Mwenyekiti na msemaji wa umoja wa mitandao Tanzania ndugu JAMES SITA MBARUKU amepeleka barua ya makubaliano ya makampuni hayo Kuwa sasa simu moja itagharimu Tsh 500 adi Tsh 600 sawa na uwiano wa gharama za uendeshaji wa bidhaa hizo, Agizo ilo la serikali linatarajia kuanza kutekelezwa DECEMBER 7 Mwaka 2020
=======
Sasa hapa pa kupanga bei kutoka 100-150 kufikia hadi 500-600 hii imekaaje kwa wajuvi wa sheria.
Na pia nawaomba wahusika wa haya makampuni wasiufuate huu mfumo kwani si lafiki kwa wanaotoa huduma za usajili wenu wa Laini mtaani kwani utawaumiza mno hali itakayopelekea na wao kuanza kusajili laini moja 3000-4000