Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Ngoja niongeze nyama. Kuna wakati unakua na furaha inazidi unaona ni bora ufupishe habari.tulia alafu ongeza nyamanyama
Soma kwenye source watu wapo wanawaza jinsi ya kukusaidia uishi standard life.Aliyekupa hii taarifa alikufa kabla hajamaliza kukuelezea?
Source umeweka kabla au baada ya kuweka mada?Soma kwenye source watu wapo wanawaza jinsi ya kukusaidia uishi standard life.
Saivi ni saa sita, rukhsa kufanya yako, watu washapata chaiSource umeweka kabla au baada ya kuweka mada?
Nn h umeandika?Saivi ni saa sita, rukhsa kufanya yako, watu washapata chai
🤣🤣🤣 Furaha au sioNgoja niongeze nyama. Kuna wakati unakua na furaha inazidi unaona ni bora ufupishe habari.
Hii sasa ndio Mix by YASView attachment 3301408
Yas hii nnayoijua mimi
Alafu Yas ikalime 😅Hii sasa ndio Mix by YAS
Hata aongeze nyama za Sele bonge kama hujaelewa hapo huezi elewa tena!!tulia alafu ongeza nyamanyama