Mitano tena kwa Rais wa Mali, bila kikomo rasmi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Tangu kupata uhuru mwaka 1960, Historia ya Urais nchini Mali imegubikwa na misukosuko ya kisiasa, ambapo karibu kila mabadiliko ya madaraka yamehusisha mapinduzi ya kijeshi. Kuanzia kumuondoa Modibo Keïta mwaka 1968, hadi mapinduzi dhidi ya Amadou Toumani Touré mwaka 2012, na Ibrahim Boubacar Keïta mwaka 2020

Mapinduzi haya yamekuwa yakichochewa na migogoro ya ndani na kutokuwepo kwa imani kwa serikali za kiraia, hali iliyowapa wanajeshi nafasi ya kuingilia kati mara kwa mara.

Soma pia: Mali: Assimi Goïta atangaza sheria inayompa mamlaka bila kikomo

Kwa sasa, Mali inaongozwa na Jenerali Assimi Goïta, aliyeingia madarakani kupitia mapinduzi mwaka 2020. Mnamo Julai 10, 2025 alisaini nyaraka ambazo bunge la mpito lilimuidhinisha kuendelea na uongozi kwa miaka mitano bila ukomo rasmi

 
Yaani nipindue nchi halafu urais nimkabidhi mwingine? Never.

Nikishapindua nchi basi mimi ndie rais mpaka aje mwingine kunipindua
 
🚮
 
Sisi ni misaba
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…