Uchaguzi 2020 Mitano ya kwanza VS Mitano tena

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
240
Reaction score
767
MITANO KWANZA VS MITANO TENA

Kwa maoni yangu ccm hawakutegemea uchaguzi kuwa mgumu hivi mgombea wa Chadema TUNDU LISSU ameonesha Uwezo mkubwa wa kujenga hoja hasa baada ya ilani yao kubebwa na kauli mbiu ya UHURU HAKI NA MAENDELEO kwa kiasi kikubwa imepokewa vyema maana anagusa wananchi kwa kina akizungumzia haki ya kufanya biashara haki za wakulima ktk kuuuza mazao nje na akigusa maendeleo basi ya watu sio vitu

Mgombea wa chama cha mapinduzi yeye amejikita kwa aliyofanya miaka mitano na amesimama kwenye ujenzi wa miundombinu

Mwisho wale waliotaka kumdanganya mgombea wa ccm kuwa asifanye kampeni kwamba uchaguzi huu ni mwepesi sana yy mwenyewe ameshaona ugumu na ndo maana anasema wenzake walipewa miaka kumi yy mitano kwani kawakosea nn?

Kwa sauti ya BISHOP askofu benson bangoza ni Kati ya MITANO KWANZA AMA MITANO TENA TUNAHITAJI KIONGOZI AKIIZUNGUMZIA HAKI BASI ASIONE AIBU KAZI KWENU wapiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…