Mitanzania...

Mitanzania...

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Yadai chanzo cha ajali ye ndege ni ubovu wa uwanja wa ndege huko Mwanza...

Yachomeana tena nyumba na kuharibiana mazao huko Musoma...

Yazidi kuacha wamama wajawazito wazalie sakafuni....

Yachota mafuta ya taa kwenye gari lililoanguka...

Yawaibia maiti ajalini huko Tabora...

Yadai urai wa nchi mbili...

Yauziana hisa za dhahabu yao Ulaya...

Yajengeana majumba ya kifahari ufukweni...

Yasafiri huko na huko duniani kutafuta wawekezaji...

Yapanga bajeti kubwa sana ya matumizi ya kawaida kila mwaka...

JE, MITANZANIA NDIVYO ILIVYO?
 
Hapana, Ni Miafrika Ndivyo Tulivyo (na wewe umo pia)

Kwa hiyo kuna Mitanzania iko pouwa tu, kama huyu - sasa si tuipe nchi iiongoze?

Hivi Mjeshi Jerry Rawling ali-make any difference huko Ghana na 'damu' yake?
 
Kwa hiyo kuna Mitanzania iko pouwa tu, kama huyu - sasa si tuipe nchi iiongoze?

Hivi Mjeshi Jerry Rawling ali-make any difference huko Ghana na 'damu' yake?

Nah....hakuwa na wengi wa aina yake. Mingine yote iliyokuwa imemzunguka ilikuwa myeusi tiiii. Sasa ulitegemea nini

Ila huyo Mtanzania gani na wewe? Mbona jina lake kama la Kifaransa? Anatokea wapi huyu?
 
Nah....hakuwa na wengi wa aina yake. Mingine yote iliyokuwa imemzunguka ilikuwa myeusi tiiii. Sasa ulitegemea nini

kwa hiyo ishu ni 'melanin' - mbona mkorogo unaiondoa kwa kasi tu?
 
kwa hiyo ishu ni 'melanin' - mbona mkorogo unaiondoa kwa kasi tu?

Mkorogo ni bandia....mimi nazungumzia genetics bana. Nazungumzia damu...dna....sasa mkorogo na dna wapi na wapi bana wewe...aaaagh
 
aisee mbona kebineti yetu ya kwanza ilikuwa imechanganya sana 'damu'?

Cabinet1.jpg
 
Wasichana blondy wanaaminika kuwa ni wajinga sana.

Sasa ukiona Blondy ka-bleach nywele, wanasema ni "Artificial inteligent".

Labda kweli kuna haja ya kuwa na Mikorogo ili tusafishe NGOZI na Akili.
 
aisee mbona kebineti yetu ya kwanza ilikuwa imechanganya sana 'damu'?

Cabinet1.jpg

Maendeleo hayaletwi na wachache waliopo kwenye baraza la mawaziri. Unahitaji vipanga kwenye nyanja mbalimbali.

Halafu hata hao waliokuwepo kwenye hilo baraza walikuwa ni wachache mno kuleta cataclysmic change...walikuwa wanafuata sera za bosi wao mwafrika. Pili walikaa kwenye baraza kwa muda gani? Na tokea hapo ni wangapi wengine waliokuwemo?
Brazil inao wengi sana waliochanganya damu na ina wazungu wengi sana. Oooh mfano mwingine...majirani wa Haiti ni Dominican Republic...hawa wengi wao wamechanganya damu. Lakini maendeleo ya DR na Haiti unaweza kuyalinganisha? Kwa nini hayalingani licha ya wote ku share kisiwa hicho hicho cha Hispaniola?
 
Robin Szolkowy.
stock-photo-paris-november-german-ice-skaters-aliona-savchenko-robin-szolkowy-pose-during-medal-24343117.jpg

Nyani, hapa sasa kama unataka DNA.
 
Inaambiwa tanzanite bado ipo na tanzanite alliance badala ya serikali kuiambia kampuni hiyo.
Yanataka hela ya BAE wakati hayajashughulikia iliyosababisha rushwa hiyo
Yanaogopa kumuuliza kokwete maisha bora yakwapi.....utumbo utumbo tuuuu!
 
Sijui...sijatafiti hilo. Litafiti kama una kiu ya kujua....

Watalaam wameshatafiti ila wanabishana kila siku...Kati ya nurture na nature chenye effect kubwa ni nurture japo ina uhusiano wa karibu na nature...Kabula ukimtupa Siberia au kule kwa Waeskimo hatakuwa na tofauti sana na hii Miafrika unayoingelea...Au mrudishe Unyantuzuni uone kama atamzidi Malia na Sasha...
 
Tatizo nikimuacha Unyantuzuni atakuwa peke yake na usikute hawatamwelewa. Uhusiano baina ya nature na nurture naukubali japo niko partial kidogo kwenye nature...
 
Nyani babake huyu kijana sio tabibu ni Daktari ndani ya Bongo!!

tofauti ya tabibu na daktari ni nini? nielimisheni jamani maana siku zote nimekuwa nikidhania ni kitu kilekile tu
 
Tatizo nikimuacha Unyantuzuni atakuwa peke yake na usikute hawatamwelewa. Uhusiano baina ya nature na nurture naukubali japo niko partial kidogo kwenye nature...

What do you mean by being "partial kidogo kwenye nature"? Hivi unadhani vijana wetu wa engineering hapa UDSM na nature yao ya Uafrika/Utanzania wakitupwa pale NASA halafu na mavifaa yote yale na vichwa vyote vile vya kuwafunda (nurture) hawatafanya ma-cataclysmic innovative change ya nguvu?
 
Nyani Ngabu heshima mbele mkuu wewe uko sahihi, Tabibu ni synonym ya daktari!!
 
Back
Top Bottom