JE, MITANZANIA NDIVYO ILIVYO?
Kwa hiyo kuna Mitanzania iko pouwa tu, kama huyu - sasa si tuipe nchi iiongoze?
Hivi Mjeshi Jerry Rawling ali-make any difference huko Ghana na 'damu' yake?
kwa hiyo ishu ni 'melanin' - mbona mkorogo unaiondoa kwa kasi tu?
aisee mbona kebineti yetu ya kwanza ilikuwa imechanganya sana 'damu'?
dna ya kizungu ina iq kubwa zaidi?
Robin Szolkowy.
Nyani, hapa sasa kama unataka DNA.
Sijui...sijatafiti hilo. Litafiti kama una kiu ya kujua....
Hivi huyu jamaa babake ni nani? Nasikia eti ni tabibu bongo...
Watalaam wameshatafiti ila wanabishana kila siku...Kati ya nurture na nature chenye effect kubwa ni nurture japo ina uhusiano wa karibu na nature...Kabula ukimtupa Siberia au kule kwa Waeskimo hatakuwa na tofauti sana na hii Miafrika unayoingelea...Au mrudishe Unyantuzuni uone kama atamzidi Malia na Sasha...
Nyani babake huyu kijana sio tabibu ni Daktari ndani ya Bongo!!
Tatizo nikimuacha Unyantuzuni atakuwa peke yake na usikute hawatamwelewa. Uhusiano baina ya nature na nurture naukubali japo niko partial kidogo kwenye nature...