Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
What do you mean by being "partial kidogo kwenye nature"? Hivi unadhani vijana wetu wa engineering hapa UDSM na nature yao ya Uafrika/Utanzania wakitupwa pale NASA halafu na mavifaa yote yale na vichwa vyote vile vya kuwafunda (nurture) hawatafanya ma-cataclysmic innovative change ya nguvu?

Chukuwa hao hao weusi ambao babu zao waliozaliwa hapo hapo US. Na utuambia mavituz yao.
Hao, kwa wale waliopata 'nurture', mavituz yao yanajulikana - hebu mcheki huyu:
Benjamin S. Carson, Sr., M.D., had a childhood dream of becoming a physician. Growing up in a single parent home with dire poverty, poor grades, a horrible temper, and low self-esteem appeared to preclude the realization of that dream until his mother, with only a third-grade education, challenged her sons to strive for excellence. Young Ben persevered and today is a full professor of neurosurgery, oncology, plastic surgery, and pediatrics at the Johns Hopkins School of Medicine, and he has directed pediatric neurosurgery at the Johns Hopkins Childrens Center for over a quarter of a century. He became the inaugural recipient of a professorship dedicated in his name in May, 2008. He is now the Benjamin S. Carson, Sr., M.D. and Dr. Evelyn Spiro, R.N. Professor of Pediatric Neurosurgery.
Some career highlights include the first separation of craniopagus (Siamese) twins joined at the back of the head in 1987, the first completely successful separation of type-2 vertical craniopagus twins in 1997 in South Africa, and the first successful placement of an intrauterine shunt for a hydrocephalic twin. Although he has been involved in many newsworthy operations, he feels that every case is noteworthy deserving of maximum attention. He is interested in all aspects of pediatric neurosurgery and has a special interest in trigeminal neuralgia (severe facial pain) in adults.
Dr. Carson holds more than 50 honorary doctorate degrees. He is a member of the Alpha Omega Alpha Honor Medical Society, the Horatio Alger Society of Distinguished Americans, and many other prestigious organizations. He sits on the board of directors of numerous organizations, including Kellogg Company, Costco Wholesale Corporation, the Academy of Achievement, and is an Emeritus Fellow of the Yale Corporation, the governing body of Yale University. He was appointed in 2004 by President George W. Bush to serve on the Presidents Council on Bioethics. He is a highly regarded motivational speaker who has addressed various audiences from school systems and civic groups to corporations and the Presidents National Prayer Breakfast.
In 2001, Dr. Carson was named by CNN and TIME Magazine as one of the nations 20 foremost physicians and scientists. That same year, he was selected by the Library of Congress as one of 89 "Living Legends" on the occasion of its 200th anniversary. He is also the recipient of the 2006 Spingarn Medal which is the highest honor bestowed by the NAACP. In February, 2008, Dr. Carson was presented with the Fords Theatre Lincoln Medal by President Bush at the White House. In June, 2008, he was awarded the Presidential Medal of Freedom by the President, which is the highest civilian honor in the land. He has literally received hundreds of other awards during his distinguished career.
Today, Dr. Carson and his wife, Candy, dedicate themselves to expanding the reach of the Carson Scholars Fund. Their dream is to name a Carson Scholar in every school within the United States.
Source: http://carsonscholars.org/content/dr-ben-carson/general-information
Nah....hakuwa na wengi wa aina yake. Mingine yote iliyokuwa imemzunguka ilikuwa myeusi tiiii. Sasa ulitegemea nini
Ila huyo Mtanzania gani na wewe? Mbona jina lake kama la Kifaransa? Anatokea wapi huyu?
Ila huyo Mtanzania gani na wewe? Mbona jina lake kama la Kifaransa? Anatokea wapi huyu?
Robin Szolkowy.
Nyani, hapa sasa kama unataka DNA.
aisee mbona kebineti yetu ya kwanza ilikuwa imechanganya sana 'damu'?
What do you mean by being "partial kidogo kwenye nature"? Hivi unadhani vijana wetu wa engineering hapa UDSM na nature yao ya Uafrika/Utanzania wakitupwa pale NASA halafu na mavifaa yote yale na vichwa vyote vile vya kuwafunda (nurture) hawatafanya ma-cataclysmic innovative change ya nguvu?
Ndo maana nchi ilifanya vizuri mwanzomwanzo hadi hapo tulipo watimua kabisa wakoloni na kuleta ujamaa kwamba kilichokuwepo tugawane, amna aliyakuwa na uchungu. kila kitu "BOMOA BABA TUTAJENGA KESHO"
Wabongo kweli nuksi:-
From wikipedia
"Szolkowy was born in Greifswald, Mecklenburg-Vorpommern, East Germany. His mother, a nurse, met his father, a Tanzanian medical doctor, when the latter was a student in Greifswald. Although Robin had seen photos of his father, the two did not meet until March 2008, in Vienna, Austria."
Niliyakuta Mzumbe nilijua mambo yakuacha wajomba ni huku kwetu tu, kumbe hadi tukienda nje ni hivihivi? Kweli Ngozi nyeusi nuksi, Mzumbe pale wapo kibao awajuhi baba zao wako wapi utakuta mtoto anatumiha jina Baba kama ADA( Advance Deploma in Accounting), wengine majina ya mabweni Mirambo nk
Sasa jama tokea 1979 ajamuona mwanae mpaka 2008? nadhani baada ya kusikia mafanikio ya mtoto.
Wewe unaongea nini?
huko ulaya kwa kutupa ndo wanaongoza, hao wa mzumbe cha mtoto.
Kuna binti mmoja mweupe alinifuata akaniuliza hivi ninyi watu weusi mko je?
na mimi nikamuuliza kulikoni?
Kasema alikuwa ameolewa na mnigeria mmoja, basi huyo mnigeria kipindi chote alikuwa mnyenyekevu, lakini siku alipopata tu passport akamwaga mkewe anakwenda kununua sigara ,teh teh teh hadi leo miaka 6 hajarudi alikowenda kununua sigara
Kwa hiyo Kibanga alifanya makosa kumpiga Mkoloni?
Umesahau 'Brown ashika Tama'?
MkamaP,
Hii swala ni zito sana. Hivi kuna uhakika gani Wageruman walitaka jamaa abaki hapo German amtunze mtoto? Hawa jamaa ukikaribia tu kumaliza shule wanakufuata na kukumbusha tarehe yako ya kuondoka.
Nina jamaa yangu mmoja huko Ulaya kwenu alikuwa akilalamika kuwa pamoja na kuowa na kuwa na watoto watatu, alitaka kuja nyumbani mwaka huu January, lakini wamemnyima VIZA ya huko na kwa sababu wanafahamu kuwa wanafanya makosa, basi wamesema tu hawatampaisha na hawampi viza. Hawajampa barua wala nini. Hawezi kufanya kazi wala kutoka nje. Watafanya kila njia ili hatimaye uchoke na ukimbie mwenyewe.
Huyo aliyeenda kununua sigara unaweza kukuta walimdaka huko na wakampaisha kimya kimya na huyo dada hadi leo anasubiri kumbe jamaa alishapaishwa au kafungwa.
Tusiwe watu wa kufikiri tu jamaa wanaacha watoto. Hawa jamaa wakati mwingine wanataka sana ukimbie na mtoto wala usiote eti utambeba. Wajeruman ndiyo wanajulikana dunia nzima. Mtoto wao bila kujali wa baba au mama, ni mali yao. Pana wakati nilisoma makala kuwa wanalalamikiwa na Ulaya nzima maana watanyanganya hata kachanga kwa mama yake na atapewa baba, Ovyo kabisa.