SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Akihojiwa na Gabriel Zakaria wa Televishen ya TBC1leo asubuhi19/5/2013 katika kipindi cha JAMBO. msanii wa filamu, Kemi, (Julieth Samson) alisimulia
jinsi alivyotegewa kunywa pombe ili akilewa abakwe na kupigwa picha za utupu, lakini akagundua mpango huo
akaacha kunywa hiyo pombe hivyo akaponea aibu.Akaeleza pia hii ndio sababu iliyomfanya aokoke.
Je, pengine huu ndio mchezo wanaofanyiwa wasanii wa kike wapenda pombe? Si ajabu.