Hiyo ni tafsiri yako tu Futota. Avatar haijalenga huko unakofikiria. Hebu soma HABARI YA AVATAR HII.Ndugu, nakushauri badilisha hiyo Avatar yako.
Inadhalilisha wale wenye ugonjwa wa albinism
adakiss, huyu dada, (Kemmy) hakuwa askari, ila babake ndo alikuwa askari na alikulia police barracks na kwa kuwaHivi huyu dada si alikuwa askari vipi ameacha uaskari au bado??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hiyo ni tafsiri yako tu Futota. Avatar haijalenga huko unakofikiria. Hebu soma HABARI YA AVATAR HII.
Sawa Futota. Nenda chitchat tena utakuta thread yenye title: Bai bai avatar. Nitairudia ile avatar ya zamani.Ndio nimesoma habari ya kuhususishwa na chaguo la hiyo avatar yako.
Lakini bado inabaki kwa mtumiaji wa JF hawezi mara moja kuiona hiyo maana ya avatar, bado inabaki ni ya kidhalilishaji kwa jicho la kwanza