Miti ipi inakua haraka na inafaa kwa fence? (iwe miti ya kwenda juu sio ya kutambaa

Miti ipi inakua haraka na inafaa kwa fence? (iwe miti ya kwenda juu sio ya kutambaa

Tough lady

Senior Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
151
Reaction score
183
Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu inayolua haraka, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).

Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experiencena speed ya ukuaji wa miashoki anijuze. Lakini pia napokea mawazo ya miti mingine ambayo naweza kutumia inayoendana na miashoki.

NB; Kwa mtakaosema miashoki ina mikosi, naomba kuwajulisha kuwa nshalisikia kwa watu hilo na kwangu halina tatizo. Asanteni😋
 
1631617794352.png

Panda hayo
 
Yaani hii ndo ilikuwa akilini mwangu tola mwanzo.Tatizo nahisi kama inahitaji pruning mara kwa mara na eneo ni heka 10..pruning itaniua😀..Ila nayapenda sa a
 
Hiyo miashoki mbona inarefuka kwa haraka sana. Miashoki ya miaka miwili ni mirefu kuliko hata Hasheem Thabit. Panda hiyo hiyo miashoki, kama ina mikosi itajulikana huko huko juu ikisharefuka. Cha muhimu ni kuzingatia kanuni za upandaji tu
 
Asante sana. Nilitaka kujua urefukaji. Kama inarefuka kuliko Hasheem Thabit inafaa kabisa😀💪👌. Mikosi mbele kwa mbele. Nimekusoma mkuu😀👏
 
Back
Top Bottom