kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Panda mitiki,inafanya vizuri maeneo ya Pwani.Nawasalimia ndugu zangu,
Poleni kwa changamoto ya mvua
Nina shamba langu dogo hapo Chalinze, nataka nilipande miti pembeni kulizunguka.
Je, huu ni msimu mzuri wa kuotesha miti?
Je, ni miti gani mizuri yenye manufaa baadaye?
Je, kwa hapo Chalinze inapatikana au ni bora nitafute kwingine?
NB: Mimi siyo mkazi wa maeneo hayo ndiyo maana sijui chochote ila nina eneo hapo.
Nakaribisha ushauri na mawazo pia.
Asanteni.
Kwa ushauri na mwongozo kuhusu miti aina zote kuanzia Miche tupo.Nawasalimia ndugu zangu,
Poleni kwa changamoto ya mvua
Nina shamba langu dogo hapo Chalinze, nataka nilipande miti pembeni kulizunguka.
Je, huu ni msimu mzuri wa kuotesha miti?
Je, ni miti gani mizuri yenye manufaa baadaye?
Je, kwa hapo Chalinze inapatikana au ni bora nitafute kwingine?
NB: Mimi siyo mkazi wa maeneo hayo ndiyo maana sijui chochote ila nina eneo hapo.
Nakaribisha ushauri na mawazo pia.
Asanteni.
Kweli kabisaPanda mitiki,inafanya vizuri maeneo ya Pwani.