Miti ya mibuyu yang'olewa na kusafirishwa kuuzwa kimataifa

Miti ya mibuyu yang'olewa na kusafirishwa kuuzwa kimataifa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Wanamazingira wapinga mti wa mbuyu kungolewa na kuuzwa. Miti hiyo adhimu inayoenziwa na wenyeji wa kaunti ya Kilifi pwani ya Kenya hutumika kwa shughuli nyingi za kijamii.

Mambo hayo ni kama kufanyia matambiko, kubwaga mashetani yabaki ktk mbuyu, mbegu / punje za ubuyu hutumika kama kikolezo ktk mlo kama uji pia unga wa punje hizo una madini megi ya calcium, potassium, vitamin C nyingi sana, matawi yake yaliyoanguka ni kuni na magome yake dawa za asili

1669154786179.png

Mti wa mbuyu ukiwa umetayarishwa kusafirishwa kwenda, Marekani

Rais Ainigilia Kati Kuona Uwezekano wa Kupiga Marufuku Biashara,ya mti wa Mbuyu

Source : KTN News Kenya

More info :

mg.usembassy.gov
https://mg.usembassy.gov › u-s-gov...
U.S. Government-Funded Research to Investigate the ...

26 Feb 2021 — USAID awards a $130,000 research grant to the University of Antananarivo. Madagascar's most iconic ....
 
Hiki ni kitendo cha kupigwa vita. Mibuyu na mikwaju ni chanzo safi cha lishe Africa.
 
Mti wa mbuyu kwa kiingereza unaitwa baobab je ubuyu kwa kiingereza? Ukwaju Tamarind.
 
Back
Top Bottom