Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

Ahmed Vuai

New Member
Joined
Sep 17, 2026
Posts
2
Reaction score
1
Nauza takriban miti 100 ya Mitiki (Teak) iliyopo Selem, Zanzibar. Miti imekua vizuri na ina ukubwa unaofaa kwa matumizi ya mbao, samani, ujenzi na biashara ya mbao.
πŸ“ Eneo: Selem, Zanzibar
🌳 Idadi: Takriban miti 100
πŸ“ Mzunguko wa shina: Nchi 63 na kuendelea
πŸ“ Urefu: Mita 8 na kuendelea
Miti inafaa kwa wanunuzi wa mbao, mafundi, kampuni za samani na wafanyabiashara wa miti/mbao.
πŸ’° Bei: Kwa maelewano baada ya kuangalia miti.
πŸ“ž Kwa mawasiliano: 0717 792 679

 
Huu ni utajiri ndugu hongera kwako

Selem ni pazuri kwa uotaji wa miti iyo
 
Mimi ninayo zaidi ya miti 2000 iliyo tayari kuvunwa kwa size ya 60-100 ipo zaidi ya 400 anayehitaji anicheki iko Mkuranga mkoa wa pwani ina miaka 10 sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…