Tatizo ni ufelishwaji wa makusudi kwa wanafunzi wa Kiislamu sio usahihishaji! soma vizuri madai yaliyoandikwa na Mufti Simba.Nashauri mitihani ya masomo ya dini isahihishwe huko huko misikitini na makanisani na wawekeane maksi watakazo kama ni 100% sawa kama ni 0% poa pia matokeo wapeane hukohuko ktk nyumba za ibada.Maana Sioni faida yake kuwa chini ya Baraza la Mitihani la Tanzania Wakati ni somo lao na Mungu wao.Tutilie maanani kuwa Serikali ya Tanzania haina dini.
Ama mwaonaje hili wadau
:target: