msomi kweli
Member
- Feb 8, 2012
- 31
- 20
mkuu sizani kama kunaumuhimu wakurudisha hiyo mitihani, maana hata watahiniwa wenyewe sidhani kama wataenda ichukua hata wakienda wataifanyia nini??
pia hili litzepusha mambo mengi kama vile
1. gharama za usafirishaji wa scripts
2. inawezekana mwalimu alifundisha ndivyo sivyo leo umekosa swali mija tu likakusababishia ukose pass mark huyo mwalimu mmtachukuliaje??
3.marumbano baina ya wasahihishaji na watahiniwa.
pia kama unahitaji karatasi zako nenda NECTA watakupatia
msomi kweli kweli wewe,
kwanza kabisa si kazi rahisi kuirudisha mitiha hii mashuleni as yote hukusanywa na kusahihishiwa eneo moja, gharama ya kurudisha vituon ni kubwa na pia haina maana manake mtahiniwa unamkuta wapi tena?
pia itakuwa na maana gani tena kwa mtahiniwa husika? mnake nafikiri tufanye jambo tukiwa na mantiki nyuma yake. haina mantiki yyte ile kuirudisha kama tu leaving certificate wapo wasio zifuata sembuse mitihani ilo kwisha fanywa na mtu akavuka hiyo stage?
kama unamalalamiko juu ya usahihishaji wa mtihan wako nenda ka appeal baraaza watauhakiki ka kusahihisha upya.
mkuu hata vyioni mitihani ya kufunga chuo huwa hairudishwii
Gharamaaa? Walimu wamefundisha vibaya? Jamani hebu tuzidi kufungua bongo zetu... WAKUU
Mkuu rombo kwa chuoni sawa kwa sababui mara nyingi chuoni muhura ukipita basi zile mada huwa hazijirudii lakini jaribu kufikiria huku chini A/level na O level vitu ni vile vile. Iangalie hiyo Mkuu
msomi kweli kweli wewe,
kwanza kabisa si kazi rahisi kuirudisha mitiha hii mashuleni as yote hukusanywa na kusahihishiwa eneo moja, gharama ya kurudisha vituon ni kubwa na pia haina maana manake mtahiniwa unamkuta wapi tena?
pia itakuwa na maana gani tena kwa mtahiniwa husika? mnake nafikiri tufanye jambo tukiwa na mantiki nyuma yake. haina mantiki yyte ile kuirudisha kama tu leaving certificate wapo wasio zifuata sembuse mitihani ilo kwisha fanywa na mtu akavuka hiyo stage?
kama unamalalamiko juu ya usahihishaji wa mtihan wako nenda ka appeal baraaza watauhakiki ka kusahihisha upya.
mkuu unaona kusafiriaha mitihani ni kazi ndogo sanaeee?? mimi wilayi kwetu kuna shule za secondary zaidi ya 50, zingine ziko ndani ya vijiji kabisa leo unasema usafiri sio shida?? ukiambiwa ulipie elf 20 ili mitihani yako irudishwe utatoa?? hata kama jibu ni ndio hiyo ni kwako!!
hata kama huyarudii lakini kumbuka hii ni haki ya mwanafunzi kwa sababu yeye ndio aliyejibu kwanini wanafanya siri au kuna uchakachuzi kama wa kwenye KURA? lABDA NITATAKA NIMUONESHE MDOGO WANGU ILI ASIJE AKARUDIA MAKOSA NILIOYAFANYA AU AJIFUNZE YALE MAZURI NILIOFANYAkwani mkuu ukimaliza A-Level hayo masomo utayarudia??
hiki ndicho kinacho sababisha Tanzania kukosa maendeleo kila mtu amelishwa kitu kile kile kwenye sector zile zile. HIVI KWELI HAKUNA MAANA KWA mwanafunzi wa sekondari kurudishiwa mitihani yake? kweli?