Mitihani inayoendelea kidato cha sita

Mitihani inayoendelea kidato cha sita

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa...
 
Pole sana...Muwe mnajifunzs vitu kwa ufahamu wako tuu wakawaida...siyo lazima iwe kwenye mtaala....
 
Jiandae na mitihani ijayo achana na JF kwa muda huu kijana hutapata majibu ya hayo maswali yako. Focus
 
Kasome wewe wenzio humu wengi wameshamsliza shule wanapunguzia stress tu na wengine kutafuta kazi
 
geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa...

Hebu weka hilo swali hapa tukujuze kama madai yako ni ya kweli au yanatokana na maandalizi hafifu kwenye mtihani wako
 
Mhhh, ya kweli hayo au ni kutojiandaa vizuri unaweweseka?
 
hv si kuna selection ya maswali?au mfumo siku hz umebadilika??any way jiandae na chai za Geo 2;utatoka tu ucjalu
 
geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa...

Unakuja kufanya nini wewe? Hivi unawajua vizuri raia Wa Jf au huwa unawasikia tu? Watakutia ma-pressure bure mpaka ufeli na mitihani inayofuata! Acha kuhoji mtihani uliopita, fanya maandalizi ya mitihani ijayo. Hilo ulilohoji hatuna namna ya kukusaidia!!
 
Kasome kwa ajili ya hiyo mitihani mingine maana hapa hautasaidiwa kwa chochote
 
Kisaikolojia tunaitwa DISPLACEMENT. Swali linakushinda, kwa kuwa hukujiandaa, unawalalamikia hata wasiohusika.
 
wewe dogo acha kulalamika. kwani uliambiwa ni lazima ulifanye ilo swali? c ungechagua lingime tuu. au ulikuwa unataka tujue kuwa na wewe umefanya necta f6? haya tumeshajua hongera
 
wewe dogo acha kulalamika. kwani uliambiwa ni lazima ulifanye ilo swali? c ungechagua lingime tuu. au ulikuwa unataka tujue kuwa na wewe umefanya necta f6? haya tumeshajua hongera

kwa nini tunamshambulia kwa hoja dhaifu namna hii? Kama mtaala umebadilika na hiyo sehemu imeondolewa kwa nini iwekwe. Ebu tufikilie umuhim wa syllubus la sivo kama hatuwezi kuifata bora isiwepo kabisa. Watanzania tunafanya mambo hovyohovyo harafu tunataka kuvuna nzurinzuri, amazing people.
 
Hili lipo wazi kabisa wanafunzi wengi huwa wanasoma kutokana na mtahala unavyomuongoza kwamba soma hiki na hiki na ndivyo ilivyo sasa kama amekuta kitu ambacho kipo nje ya kile alichoelekezwa kwani ni vibaya kutafuta muongozo? .Ubaya wetu tukipiga hatua fulani mbele majivuno yanazidi ,utasikia mtu anasema enzi zetu tulimeza kila kitu ninyi wa siku hz ni kushinda kwenye social net.je huyu mtu ana uhakika gani? Kama huna uwezo wa kumsaidia mtu bora ukae kimya.
 
we usha fel nend jeshn umelikosa bum pole sana dogo si lazma wote 2end chuo nan atakuwa mlinzi
 
Back
Top Bottom