Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa...

pole, ilifutwa hadi akilini mwako?
geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa...
Ulikalia social network na blogs sasa ngoja uvune ulichopanda
wewe dogo acha kulalamika. kwani uliambiwa ni lazima ulifanye ilo swali? c ungechagua lingime tuu. au ulikuwa unataka tujue kuwa na wewe umefanya necta f6? haya tumeshajua hongera
we usha fel nend jeshn umelikosa bum pole sana dogo si lazma wote 2end chuo nan atakuwa mlinzi