Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 599 May 10, 2014 #21 anthonydan said: geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa... Click to expand... .pole sana dogo, si wenyewe mwaka jana tulipewa GLACIATION..
anthonydan said: geography I walileta swali toka topic ya plant geography wakati hii topic imefutwa...hivi tanzania ni vp sasa... Click to expand... .pole sana dogo, si wenyewe mwaka jana tulipewa GLACIATION..
luofe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 330 Reaction score 143 May 10, 2014 #22 at least glaciation tuliipitia bt plant geography mbali sana ....necta wanafanya mambo hovyohovyo pooorrr wao na wote mnaomponda dogo
at least glaciation tuliipitia bt plant geography mbali sana ....necta wanafanya mambo hovyohovyo pooorrr wao na wote mnaomponda dogo
N NZELLA Member Joined Jun 3, 2011 Posts 37 Reaction score 4 May 11, 2014 #23 Plant geo ilifutwa uliambiwa au hata kwenye syllabus imefutwa?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,819 May 11, 2014 #24 Landcruiser said: .pole sana dogo, si wenyewe mwaka jana tulipewa GLACIATION.. Click to expand... Enzi zangu glaciation nikikuwa naielewa sana but too bad haikuja kwenye paper
Landcruiser said: .pole sana dogo, si wenyewe mwaka jana tulipewa GLACIATION.. Click to expand... Enzi zangu glaciation nikikuwa naielewa sana but too bad haikuja kwenye paper