Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndipo ninapo shangaa nchi hii!,maswali ya kuchagua haipimi uelewa wa mtoto na au mtahiniwa,maswali ya kuchagua yanalenga kufaulisha na hapo ndio kilio cha elimu yetu,Leo unakuwa na watu ovyo kabisa wasio na uelewa hata kidogo na wasiojijua.Elimu ya tz hovyo kabisa na haya mikiswahili ndio shida!hata maswali ya kiingereza yanajibiwa kwa kiswahili...big result now!Wameanza leo mitihani na maswali yote hadi ktk hesabu ni ya kuchagua herufi kwa kutia kideshi.Wapi tunaenda watanzania?
Kuna mtoto kijijini kwetu aliambiwa kuwa amefaulu mtihani wa darasa la saba akashangaa sana na kumwuliza aliyempa habari "kwani kufaulu ni kitu gani"?
Maswali ya kuchagua at least kwa chuo au A-level ambao tayari wamejua umuhimu wa elimu maana watataka kila swali kulifanyia kazi, kwa elimu ya sasa yaani primary na o-level wangepiga marufuku kabisa.Ndipo ninapo shangaa nchi hii!,maswali ya kuchagua haipimi uelewa wa mtoto na au mtahiniwa,maswali ya kuchagua yanalenga kufaulisha na hapo ndio kilio cha elimu yetu,Leo unakuwa na watu ovyo kabisa wasio na uelewa hata kidogo na wasiojijua.Elimu ya tz hovyo kabisa na haya mikiswahili ndio shida!hata maswali ya kiingereza yanajibiwa kwa kiswahili...big result now!
shukuru kawambwa, msomi sana hanafanya hafanyaro, kuweka desh hatakama ni kiraza lazima afauru,tz where we goin now
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Alafu wale ambao wenye akili kuna possibility wakaonekana vilaza maana wao wanakuwa wanajiuliza kwa kujitahidi kulinganisha majibu mwisho wa siku kuna sehemu anakosea lakini kilaza yeye ni risk taker anatick anavyojua na mara nyingi wanafaulu
Mwenye akili ana akili tu...