OOhhh My...Huyo mwingine ni NYANI(sio Ngabu) ..!...Ama kweli hujafa hujaumbika!...Lakini kwa ishu kama hii, inabidi ashauriane na Madaktari wamweleze kama kiumbe hicho kitafaa kuishi kati ya binadamu..vinginevyo kama sivyo, watumie utaratibu wa kidakatari kukieliminate!...Pole mzazi!