Mitihani ya form kuhahilishwa kusahihishwa upya

Joined
May 7, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Tetesi zilizpo kitaa ni kuwa mitian iliyopangwa kusahihishwa upya imeahirishwa kwa kuwa kuna watu waliojinyonga kutokan na matokea hayo na kuna watu waliorudia madarasa au hat kwenda chuo hivyo kusahihishwa upya kwa mitihani ni kuwavuruga wanafunzi.

Hiyo ndo serikali yetu, chezea tz wewe.
 
Mkuu naona umejitahidi kuandika uongo wa buguruni, Pia kwa taarifa yako serkali haikusema kuwa mitihani itasahihishwa upya, bali matokeo yanapangwa upya kwa grade mpya ambapo zoezi hilo ni tayari limeshaanza toka last sunday labda kama umepata tetesi hizo kwa mukandala au wauza viroba wa hapo mtaani.
 
Reactions: KUN
Inaonekana kumbe hata hujui serikali ilisema nini kuhusu hayo matokeo na uamuzi uliochukuliwa.
 
Faida ya kukurupuka kwa mtoa mada

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
KAka inaonekana unapenda vya mteremko eeeh??? Zero ni zero haitabadilika...mnapumbazw akil tu kama mazuzu.unapenda standardazation??? Mmepat zero sasa unatak one au???
 

Hahahaaa
 

hizo ni tetesi za "kitaan" kwenu,na sio kauli ya serikali..NEXT TIME TOFAUTISHA MANENO YA KIJIWENI NA MAMBO MUHIMU YA TAIFA.
 

Angalia na wew unatudangany, nani kasema wanatumia grade mpya??? Grade mpya ndizo zilizotumika, ok kwa kukusaidia tu Serikal wanatumia mfumo wa mwaka 2011 ambao una grade za zamani, Grade mpya watumie mara ngap??
 
Angalia na wew unatudangany, nani kasema wanatumia grade mpya??? Grade mpya ndizo zilizotumika, ok kwa kukusaidia tu Serikal wanatumia mfumo wa mwaka 2011 ambao una grade za zamani, Grade mpya watumie mara ngap??

Tumepishana tu lugha, lakin hope ujumbe umefika kwani niliposema mpya nilimaanisha za zamani sasa ww ukatoka usingizini na viroba vyako ukakurupuka pasipo kuelewa.
 

aisee. We ni nouma.
 
Tumepishana tu lugha, lakin hope ujumbe umefika kwani niliposema mpya nilimaanisha za zamani sasa ww ukatoka usingizini na viroba vyako ukakurupuka pasipo kuelewa.

Hahaha yan wew ndo hujui kabsa, utasemaje 'mpya' wakat unamaanisha 'zaman'?Inaonekana hujapitia class wew
 
Hahaha yan wew ndo
hujui kabsa, utasemaje 'mpya' wakat unamaanisha 'zaman'?Inaonekana
hujapitia class wew

Hapana,alijichanganya kidogo, na ukiwa kama mwanaume shupavu, hata siku moja usikiri udhaifu, ndiyo kanuni(no 67)aliyoitumia.

Ofcoz umeongea ukweli, na umeonesha jnc alivyochanganya mpya na zamani.
 
Hahaha yan wew ndo hujui kabsa, utasemaje 'mpya' wakat unamaanisha 'zaman'?Inaonekana hujapitia class wew

Basi dada Carlo maana we ni bonge la mbishi, najua una bundle la bure so ngoja nikuache ili usije ukaendelea kunipumzikia.
 
Last edited by a moderator:
Hapana,alijichanganya kidogo,na ukiwa kama mwanaume shupavu,hata siku moja usikiri udhaifu,ndiyo kanuni(no 67)aliyoitumia..Ofcoz umeongea ukweli,na umeonesha jnc alivyochanganya mpya na zamani.

Mkuu bas sawa.
 
Mwanzisha mada hiyo lugha yake tu, kama sio Form IV wa 2012, basi atakuwa ni mtarajiwa wa 2013
 
Mtoa mada nakushauri siku nyingine ukipata tetesi na una taka upate uhakika ukiingia humu post kama swali ili ueleweshwe na sio kutoa statement km vile ni kweli imetokea.Huu ni uwanja wa kupata elimu toka kwa wadau mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…