Mitihani ya kidato cha nne 2009

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Posts
2,139
Reaction score
95
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne ambao wameanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya ngazi hii. MUNGU mwenye rehema na neema awatangulie katika mitihani hii.

Amen
 
Nami naungana na wewe kuwatakia ndugu ze2 wote wa form 4 mtihani mwema, bila kumsahau mdogo wangu.
 
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne ambao wameanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya ngazi hii. MUNGU mwenye rehema na neema awatangulie katika mitihani hii. Amen


Nami nawatakia kila la heri, ila wasianze ujinga wa kuiba papers!
 
paper kupata sio ujinga kama mtu ana maswali ya kesho ya english ya essay ur welcome..
 
Kila lakheri ila mjitegemee msitumie honda
 
Out here maisha ni magumu...majuto ya kuchezea shule huja baada ya kuhangaika baada ya kumaliza..ukaona wenye shule zao wakipata wewe unahangaika.

So keep focus and dont panic.
 
Nami nawatakia kila la heri, ila wasianze ujinga wa kuiba papers!
Nimepata habari kuwa sasa hivi kuna mitihani tofauti kati ya private candidates na school candidates. Sijui kama hii itapunguza wizi wa mitihani au la?
 
paper kupata sio ujinga kama mtu ana maswali ya kesho ya english ya essay ur welcome..

Inaweza kuwa ujinga mkubwa tu manake ukizoea hii tabia baadae itakugharimu sana maishani mwako utazoea kuiba iba na kupenda kupewa vitu pasipo ku-struggle sasa mwisho wake ni kutoa rushwa na kuishia kutoa rushwa kwenye kila jambo.

Jitahidi kujiandaa kwa kila jambo hii itakusaidia kuacha kutpenda kutumia nyenzo na kutokuwa tegemezi
 
Out here maisha ni magumu...
hapa umenena mkuu vijana wengi huwa hatujui hili mpaka litukumbe ndio utaanza kusikia 'LAITI NINGALIJUA'. it doesn't help wakati huo wandugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…