Mitihani ya kidato cha nne 2012 kusahihishwa upya

Josevic

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
19
Reaction score
11
Matokeo ya form four kupangwa upya na
kufanyiwa standardisation, kutokana na
necta kutumia mfumo mpya ambao
hawakuufanyia utafiti;
tusaidiane jamani ,sasa jamani hivi haya
matokeo yanapangwa upya, kitu
kinachomaanisha kuna possibility kubwa
ya matokeo kubadilika kutoka grade moja
hadi nyingine (may happen from zero-
hero).
Sasa, vipi heshima za watu zilizopotea,
kubwa zaidi vipi maisha ya watu
yaliyopotea baada ya kujiua kutokana na
matokeo mabaya baada ya kutumia mfumo
ambao haukufanyiwa tafiti..kifupi nani
anairudisha heshima ya hawa jamaa na
yanarudishwaje yale maisha ya watu
waliojiua baada ya matokeo
mabovu...#responsibility #
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…