Mitihani ya kidato cha nne na cha sita kwa watahiniwa wa kujitegemea huwa unasahihishaje?

Mitihani ya kidato cha nne na cha sita kwa watahiniwa wa kujitegemea huwa unasahihishaje?

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Hi JFs,
Naomba nieleweshwe,....watahiniwa wa kujitegemea huwa wanapata maksi za chini sana (tukiacha suala la ukilaza). Nilijaribu kuulizia sababu lakini nikajibiwa na watu ninaoamini sio wataalamu sana maana walinijibu kuwa kuna formula inayotumika katika kuhesabu marks kwa watahininiwa wa kujitegemea eti kwa sababu hawana continuos assessments. Naomba mwana JF anayeijua formula hiyo aiweke mtandaoni ili sote tujue nikiwamo
 
Hakuna formula yoyote, wanafeli kwa kukosa maandalizi tu. Continuous assessment hazimsaidii candidate kufaulu or else walimu wangewajazia wanafunzi wao marks za juu ili waweze kufaulu.
 
wale ni watu vilaza sana ndio mana wanakuwa private candidate
 
niliwahi kusikia eti D kwao inaanzia 35-50, C ni 51-65, B 66-80, A 81-100.

Ndio maana hata kupata D kwao mbinde.
Ila sina hakika sana.
 
Back
Top Bottom