Kuna taarifa za kuahirishwa kwa mitihani ya supp iliyptarajiwa kufanyika mwezi wa 12 kama kawaida ambavyo hufanyika kila mwaka.
Sababu za kuahirishwa mitihani hiyo inasemekana ni kwa sababu serikali haina bajeti ya ziada ya kuendesha mitihani hasa kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi kufeli.
Hali hii inatokana na watu walioaminiwa kutunga mitihani kutokuwa na uzalendo na kutunga mitihani ya kukomoa wanafunzi.Hali hii ipo hususan kwa wale wanaosoma kozi ya famasi.
Haiingii akilini mwanafunzi wa famasi mwaka wa tatu kufeli somo kama la entrepreneurship. Ukiuliza somo hilo hilo wanafunzi wa uuguzi wanalisoma mwaka wa kwanza na kufaulu wote.
Hawa watu waliopewa kusimamia mafunzo kwa famasi wana lao moyoni.
Kwa mufa mrefu wanataka kupunguza wahitimu wa hii kozi hasa wakichukizwa na sera ya serikali kuruhusu vyuo kudahili wanafunzi wengi kupita kiasi.
Walipendekeza vigezo vipande lakini hadi leo havijatekelezwa na kwa hiyo hasira zinahamia kwenye kufelisha wanafunzi kwa kutoa mitihani yenye utata.
Serikali ingechukua hatua dhidi ya watu hawa na hatua za awali,wapewe mitihani hiyo waifanye na hapa itagundua mambo mengi sana.
Lakini hawa watu inabidi pia wawajibishwe katika nafasi zao maana hawalisaidii taifa kabisa.