Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Sep 25, 2021 #1 Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,530 Reaction score 9,550 Sep 25, 2021 #2 Meneja Wa Makampuni said: Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi. Click to expand... mitihani ya supplementary huwa ni bure labda u carry somo
Meneja Wa Makampuni said: Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi. Click to expand... mitihani ya supplementary huwa ni bure labda u carry somo
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Sep 25, 2021 Thread starter #3 jerrybanks said: mitihani ya supplementary huwa ni bure labda u carry somo Click to expand... okay
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 26, 2021 #4 Ngoja waje kukupa nmuongozo...
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 6,958 Reaction score 16,358 Sep 26, 2021 #5 Meneja Wa Makampuni said: Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi. Click to expand... Panda gari za kwenda Makumbusho. Shuka Bamaga na ingia mule ulizia. NDIKO UTAPATA JIBU KA UHAKIKA NA HALISI. #YNWA
Meneja Wa Makampuni said: Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi. Click to expand... Panda gari za kwenda Makumbusho. Shuka Bamaga na ingia mule ulizia. NDIKO UTAPATA JIBU KA UHAKIKA NA HALISI. #YNWA
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 Sep 27, 2021 #6 Ingia kwa website yao.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Sep 27, 2021 Thread starter #7 tang'ana said: Ingia kwa website yao. Click to expand... Sawa