Mitihani ya Taaluma inaendelea kwenye vituo vya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Arusha

Joined
Mar 27, 2025
Posts
33
Reaction score
45
Zoezi la uendeshaji wa Mitihani ya taaluma kwa wafamasia, fundi dawa sanifu, fundi dawa wasaidizi na watoa dawa likiendelea kwenye vituo vilivyopo katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Arusha. Mitihani hii ilianza tarehe 09 Julai 2025 na itamalizika tarehe 11 Julai, 2025.
 
Vigezo vya kujiunga na mafunzo ya kutoa dawa ni vipi? Mafunzo na mitihani vinafanyika wakati gani?
 
Hao wapelekeni pharmacy, halafu jifanyeni nyie ni wateja.., kisha jinsi atakavyohudumiankwa mwezi mmoja ndio mtoe marks
 
Nashauri ongezeni vituo vya kufanyia mtihani wa leseni katika mkoa wa Dar es salaam Kwa maana jiji ni kubwa sana hili linapaswa kuwa na vituo viwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…