Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Inachosha.Wale wanaopenda kusoma dakika za mwisho, tution , kukariri , kukesha sasa muda haupo, watavuna walichopanda
Noma sanaInachosha.
Nawaonea iman shule dakika za jioni kuna wengine wanaenda basi tu
A utasikia ufaulu umepanda kwa 100%UNAPOPANGA RATIBA NI MUHIMU KUIZINGATIA,UNAPOKUJA KUISOGEZA KUNA MENGI SANA YATAKWENDA NDIVYO SIVYO!,IKIWA NI PAMOJA NA SAIKOLOJIA ZA WANAFUNZI NA PROGRAM MBALI MBALI ZA KISHULE!