Ndugu kosa dogo sana halitoshi kunidharau kiasi hicho kwanza mi sipo chuoni nimeshamaliza chuo.
Wewe nawe, ni "wahadhiri" na sio wahadhili.
Halafu ndio jitu la University, huwa mnaingiaje huko kwa kuhonga au ndio NECTA?

na wewe hiyo sentensi ya mwisho ni lugha gani? na umeandika na ulikuwa unamaanisha nini?Leo umenifurahisha sana. Me lyk this sana
na wewe hiyo sentensi ya mwisho ni lugha gani? na umeandika na ulikuwa unamaanisha nini?
Ndugu kosa dogo sana halitoshi kunidharau kiasi hicho kwanza mi sipo chuoni nimeshamaliza chuo.
Ndugu kosa dogo sana halitoshi kunidharau kiasi hicho kwanza mi sipo chuoni nimeshamaliza chuo.
Ndugu kosa dogo sana halitoshi kunidharau kiasi hicho kwanza mi sipo chuoni nimeshamaliza chuo.
NECTA chini ya serikali ya ccm inapendeleaga watu? kivipi ama umekurupuka ndugu yetu..tujuze basi na sisi tujue.Nyie ndio mnaopendelewa na NECTA.