Mitihani ya UE kusahihishwa TCU.

NECTA chini ya serikali ya ccm inapendeleaga watu? kivipi ama umekurupuka ndugu yetu..tujuze basi na sisi tujue.

Sakata linaloendelea hujaliona? tazama magazeti ya leo.
 
Wewe umefika university kweli dogo? Na Kama ulifika basi ulikula disco
 
Kumbe jf kumejaa walimu wa kiswahili wengi kiasi hiki khaaa...Najutaaa.. kuwafahamu
Heli yako umemaliza univesty na sasa unaendelea kutoa ilmu hapa kwenye kibalaza cha JF na hapo ndio tunasema ilmu ni kitu bola sana ingawa si lahisi kuipata katika mazingila yetu ya sasa kwa sababu ya mizengwe ..................LOL
 
Bola na 'ilmu' ndio nini? Au ulimaanisha 'bora' na 'elimu'?
 
Sijakudharau, nimekwambia kweli, kama msomi wa chuo hutakiwi kufanya makosa ya primary school. Nyie ndio mnaopendelewa na NECTA.

na pia sio "randomyl"...ni RANDOMLY huyu jamaa atakuwa amemaliza chuo cha kata nadhani..
 
Wewe nawe, ni "wahadhiri" na sio wahadhili.

Halafu ndio jitu la University, huwa mnaingiaje huko kwa kuhonga au ndio NECTA?

mwambie mavyuoni ndio wapi?...ni "Vyuoni" aaaggggrrr!
 
Bola na 'ilmu' ndio nini? Au ulimaanisha 'bora' na 'elimu'?

"bola(bora)..ilmu(elimu)..lahisi(rahisi)..heli(heri)..mazingila(mazingira)"...hivi wewe ni mtanzania kweli? uwwiiiiii kuna haja ya vitambulisho vya utaifa kukamilika fasta!..
 
Sakata linaloendelea hujaliona? tazama magazeti ya leo.
hiki hapa? nimemsikiliza dr Kawambwa hapo sasa unalalamika nini tena?
[video=youtube_share;wuih_jq7hMU]http://youtu.be/wuih_jq7hMU[/video]
 
Heli yako umemaliza univesty na sasa unaendelea kutoa ilmu hapa kwenye kibalaza cha JF na hapo ndio tunasema ilmu ni kitu bola sana ingawa si lahisi kuipata katika mazingila yetu ya sasa kwa sababu ya mizengwe ..................LOL

Elimu na siyo ilmu.
 
wewe unadhani chuo kikuu ni sekondari? siku hizi mmeruhusiwa wengi mno kusoma ndo maana haya yanatokea. wewe mtu una div 3,4 unaingia tu chuo unategemea nini? tena nyie mliopata div 3/4 ndo waongeaji wakubwa.
 
na inaonyesha hajitambui, hivi wewe ushasema mitihani ya UE nini kirefu cha UE? aache kuidharau mitihani ya UE, hawa ndo makompliketa wa mjini kila anapopita lazima wamjue amesoma chuo kikuu hata kama aliingia na div 4
 
Umesahau kama still utabanwa katika CW kiasi hutosha hata mark za kukuwezesha kufanya hata hiyo UE yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…