Mbahili
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 281
- 525
As-salamu alaykum watanzania wote mliomakinika katika nyanja mbalimbali katika usukumaji wa gurudumu wa taifa hili. Leo nimeona nilete hili kwenu.
Baada ya shule kufungwa, wazazi ilibidi wakachukue matokeo ya watoto wao. Nilikwenda kuchukua matokeo bhn, cha ajabu performabce ya mwanangu ilikuwa xhini kustaajabisha. Ikabidi nianze kukagua mbele ya mwalimu wa darasa...
Nilishangaa, eti darasa la tatu anaambiwa andika 6,456,876 kwa maneno? Andika thamani ya 4? Mamia elfu? Wamefika lini? Niliangalia mtihani wote ikabidi niulize swali kwa mwalimu wa darasa, mbona content si ya level zao.. Alipo nijibu nilishika kichwa..." Mitihani inatoka moja kwa moja halmashauri, hivyo ndio wameleta hivi".
Huenda halmashauri zingine hufanya vyema, naomba wizara ya elimu ihakiki mitihani iliyotungwa na halmashauri Arusha mjini, mitihani ya darasa la tatu specifically, maswali 11 ni out of class 3 syllabus. Nimepanga kuangalia za level zingine na kuahidi kuwapa mrejesho wa madarasa mengine...