mitikisiko ilivyo mingi ndani ya ndoa


Lakini hata hivyo kwa nini usimrekebishe ulie nae na kwenda kuoa mwanamke mwingine? una uhakika gani kama huyo mwanamke atakua bora kuliko huyu. Mimi nina mifano kama mitatu ya wanaume waliowaacha wake zao na kwenda kuoa wanawake wengine na matokeo yake wanajuta kuliko maelezo wanatamani wawarudie wake zao waliowaacha.
 
Hamna uhakika.Hata anaebaki hana uhakika kama mwenzake anarekebishika/atajirekebisha
 
Nimesoma nusu, ngoja kwanza niende maliwatoni nije kumalizia ili niweke comments zangu!!

mhh nenda haraka urud manake kisa kitaaaaaaaaaaaaamnu bib spat kukwambia....
...kiongozi wa wnaume pia ni KIPOFU ,KIWETE NA KIZIWI.... cz mara nyng wanakimbia mkojo na kukumbatia nya bla kujua na mwshoweeeeeeeeee ujuta na vimsamaha viiing....TAMAA ZA MACHO na ufinyu wa kufikiri ndo pbm yao

wanazan wakishamzalisha asha atabakia kuwa km wa zaman na ivyo kwenda kumsaka mpya nae akishaprove wrong bas anarud wakat we uku ushahamisha filling toka tgo kwenda zain

wanajitia tia tu...kiongozi wa wanawake sjui bubu sjui kipofu na wao je?


kwenye kisa cha pili wala dada asimsamehe aende mbeletu atapata mwngne..
 
Ndoa nyingi zinazovunjika chanzo kinakuwa ni wanaume
au kwa vile kuoa imekuwa ni kama fasheni hakuna yale mapenzi ya kweli
ndio maana tatizo kidogo shuluhisho nyumba ndogo sababu
upendo haukuanzia ndani ulikuwa kwenye tamaa ya macho
 
nimekukubali
Ndoa nyingi zinazovunjika chanzo kinakuwa ni wanaume
au kwa vile kuoa imekuwa ni kama fasheni hakuna yale mapenzi ya kweli
ndio maana tatizo kidogo shuluhisho nyumba ndogo sababu
upendo haukuanzia ndani ulikuwa kwenye tamaa ya macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…