Tabana Nyamhanga
Member
- Mar 6, 2019
- 23
- 33
Umri wako kiongoziWakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali
mfano;kiduku,panki,n.k
Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao
Vipi kwako wewe ulishawahi?
je unaendelea au umeacha?
Kwa sasa ni AfroUna afro ? Au kipara au wewe ni rasta
Unavyoonekana sio mwanamke wala mwanaume upo katiWakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali
mfano;kiduku,panki,n.k
Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao
Vipi kwako wewe ulishawahi?
je unaendelea au umeacha?
style yangu ni kipara tu.Wakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali
mfano;kiduku,panki,n.k
Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao
Vipi kwako wewe ulishawahi?
je unaendelea au umeacha?
Umri wako kiongozi
Staili zote izo nimenyoa mpaka kusuka nimesuka. Skuizi napiga low taper tu kama hivi (sio mimi kwenye picha)View attachment 1212598View attachment 1212599
My styleStaili zote izo nimenyoa mpaka kusuka nimesuka. Skuizi napiga low taper tu kama hivi (sio mimi kwenye picha)View attachment 1212598View attachment 1212599