Mitochondrial eve/EVE GENE

Mitochondrial eve/EVE GENE

elixer of life

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
633
Reaction score
624
Habari wadau wa jf
nilikuwa naomba kujua kuhusu hii genetic inayoitwa (eve gene) ambayo inasemekana ipo kwa mwanamke mweusi na pia wanasema mwanamke huyu mweusi ndio anaweza kuzaa mtoto mwenye rangi yoyote ya ngozi nikiwa na maana ya african (blacks), Asians, western etc.
View attachment 584515
 
Back
Top Bottom