Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Watoto wa siku izi Bana mwanangu apendi kula nimemwambia ntampeleka MBEYA DAY hivi ninavoongea sahani Tupu
*SIPENDAGI UJINGA MIMI *
*SIPENDAGI UJINGA MIMI *
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiyo bold ya a-kaoge ulimaanisha ameanza tabia za yule wa mawingu?Kuwa makini naye, kama ni wa kiume mwambie akaoge kwanza kabla ya kula!!
Obama katuharibia watoto mweh!!
mkuu hiyo bold ya a-kaoge ulimaanisha ameanza tabia za yule wa mawingu?
Jamani hapa mmeniacha... naomba ufafanuzimkuu hiyo bold ya a-kaoge ulimaanisha ameanza tabia za yule wa mawingu?
kuwa specificJamani hapa mmeniacha... naomba ufafanuzi
Tabia za yule wa mawingu ndo zipi hizo?kuwa specific
kwani makomamndoo kiranja wa jiji alitangaza bifu na akina nani?Tabia za yule wa mawingu ndo zipi hizo?
Mkuu kama hutaki kumwaga kuku kwenye mchele wengi nitumie hata inbox... bado nipo kwenye mataa!kwani makomamndoo kiranja wa jiji alitangaza bifu na akina nani?