Mitoto mingine bana yaani kula kwake lakini mpaka atishiwe

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Watoto wa siku izi Bana mwanangu apendi kula nimemwambia ntampeleka MBEYA DAY hivi ninavoongea sahani Tupu

*SIPENDAGI UJINGA MIMI *
 
Kuwa makini naye, kama ni wa kiume mwambie akaoge kwanza kabla ya kula!!


Obama katuharibia watoto mweh!!
 
Hahaha wangu ndo usiseme afya yakwake hadi ashikiwe bakara sikama kwa mchepuko afya ya kwako ila kutumia protection hadi ulizimishwe
 
Kuwa makini naye, kama ni wa kiume mwambie akaoge kwanza kabla ya kula!!


Obama katuharibia watoto mweh!!
mkuu hiyo bold ya a-kaoge ulimaanisha ameanza tabia za yule wa mawingu?
 
mkuu hiyo bold ya a-kaoge ulimaanisha ameanza tabia za yule wa mawingu?


Kumbe Watanzania ni waelewa siku hizi,

Hivi ni mawingu eeeh!!

Jamaa wote ni .....

Namaanisha wote ni watangazaji hodari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…