Kweli kabisaIngawa sina nia ya kununua lakini kwenye picha umezingua.
Ngoja wajePicha inashida gani mkuu? Kuona kwa clear vision click usawa wa picha itafunguka
12m unachukua?Maongezi yapo mkuu, unaweza nipa ofa yako tuone biashara inafanyika au, gari iko sawa popote unapo amini tunaenda kufanya driving test