Mitsubish outlander roodest vs extrail T31 zote za 2010. Nichukue ipi?

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Kwema wataalamu.

Naombeni ushauri nichukue ipi kati ya izo gari mbili yaani nissan extrail T31 na outlander roodest?

Kwa kuzingatia reliability na durability.
 
Karibu boss wakala wa forodha nipo ntkutolea bandarini kwa bei mzuri 0764423726
Ungekuwa mtu mwema na sio dalali ungesema gari hili ushuru wake ni Tsh fulani ukipitia kwangu nitakufanyia sh fulani...
Nje ya hapo we ni tapeli tu, kama ni clearance ungesema bei gani unalitoa ili tufanye comparison na agencies wengine
 
Kwema wataalamu.

Naombeni ushauri nichukue ipi kati ya izo gari mbili yaani nissan extrail T31 na outlander roodest?

Kwa kuzingatia reliability na durability.
Nashauri pitia youtube kupata details za hayo magari, tena zipo ambazo wabongo wameziweka kabisa, itakurahishia kufanya good choice Kwa Matumizi yako
 
Ungekuwa mtu mwema na sio dalali ungesema gari hili ushuru wake ni Tsh fulani ukipitia kwangu nitakufanyia sh fulani...
Nje ya hapo we ni tapeli tu, kama ni clearance ungesema bei gani unalitoa ili tufanye comparison na agencies wengine
umepiga gongo la kichwa.
 
Back
Top Bottom