Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Ungekuwa mtu mwema na sio dalali ungesema gari hili ushuru wake ni Tsh fulani ukipitia kwangu nitakufanyia sh fulani...Karibu boss wakala wa forodha nipo ntkutolea bandarini kwa bei mzuri 0764423726
Nashauri pitia youtube kupata details za hayo magari, tena zipo ambazo wabongo wameziweka kabisa, itakurahishia kufanya good choice Kwa Matumizi yakoKwema wataalamu.
Naombeni ushauri nichukue ipi kati ya izo gari mbili yaani nissan extrail T31 na outlander roodest?
Kwa kuzingatia reliability na durability.
Umempatia link ya gari za 2018 wakati yeye anahitaji za 2010.
uzee kakaUmempatia link ya gari za 2018 wakati yeye anahitaji za 2010.
umepiga gongo la kichwa.Ungekuwa mtu mwema na sio dalali ungesema gari hili ushuru wake ni Tsh fulani ukipitia kwangu nitakufanyia sh fulani...
Nje ya hapo we ni tapeli tu, kama ni clearance ungesema bei gani unalitoa ili tufanye comparison na agencies wengine
Yeye anazungumzia T31 wewe unaleta T30 umekurupuka.