Kaka nakujibu kama ifuatavyo!
1) Magari ya Mitsubishi si rahisi kuya-maintain kama Toyota, Nissan na mengineyo. Engine za Mitsubishi ni fairly complex, ukilinganisha na Toyota au Nissan. Hii inatokana na ukweli kwamba, kihistoria, Mitsubishi ni kampuni ambayo ilikuwa ikitengeneza mashine/magari ya kivita.
2) Teknolojia ya ukarabati wa magari imebadilika sana kuanzia mwaka 2000, kiasi kwamba, wale mafundi magari wa chini ya mwembe wengi wameondoka kwenye fani hiyo, kwani, siku hizi, bila kisomo cha 'computer', hugusi magari hayo... yanahitaji ufanyie computer diagnostics... uchunguzi kwa njia ya kompyuta, kabla ya kubaini ubovu kwenye gari.
3) Nasema hivi kwani nimekuwa kondoo wa kafara, nikishuhudia gari yangu ndogo, Mitsubishi Pajero Mini, ikiharibiwa mpaka imenilazimu kununua engine nyingine...!
hii Opel vita nimeshawahi kuisikia lakini nadhani zitakuwa chache sana Tanzania,sas hali hii haitasababisha uhaba wa vifaa?4) Ushauri wangu, tafuta Honda, Opel, Volvo, Volkswagen au mwisho, Toyota... European cars will last longer than Japanese cars... na kwa muundo wake, ni imara zaidi. Unaifahamu Opel Vita? A small, unassuming car, lakini bomba ajabu!
./Mwana wa Haki
pole sana kwa yaliyokukutaP.S. FORGET Mitsubishi! I am selling mine, and I dont ever want to see another Mitsubishi AGAIN!
4) Ushauri wangu, tafuta Honda, Opel, Volvo, Volkswagen au mwisho, Toyota... European cars will last longer than Japanese cars... na kwa muundo wake, ni imara zaidi. Unaifahamu Opel Vita? A small, unassuming car, lakini bomba ajabu!
./Mwana wa Haki
P.S. FORGET Mitsubishi! I am selling mine, and I dont ever want to see another Mitsubishi AGAIN!
Dont be biased Mkuu, Japanese engines ni kiboko zikiwa well maintained.(service record na good usage)
And dont be duped, Japanese vehicles spares are readily available as compared to European vehicle spares, hata fake spares unapata ukipenda.
I have been using Japanese vehicles for over 20 year and they have NEVER let me down.
Hata hivyo nakubaliana na the type of Japanese vehicle, no.1 buy is Toyota.
Hawa spares zao ni interchangeable to a large extent