Car4Sale Mitsubishi Canter for sale

Car4Sale Mitsubishi Canter for sale

Babu Alli

Member
Joined
Nov 2, 2020
Posts
23
Reaction score
41
Mitsubishi Canter
Engine Code: 4D 33

Gari ipo katika hali nzuri sana, na kwasasa haifanyi kazi yeyote (imepaki) inapatikana Posta, Dar es salaam.

Asking price: 22M (maongezi yapo)

Kwa yeyote anayehitaji kuikagua tafadhali wasiliana nasi kupitia
0787600849
0623433833

IMG-20210629-WA0001.jpg
 
Fuso yenyewe tani 4 had 4.5 hiyo canter ya wapi yenye tani 5? Hivi unajua kwamba horse ya scania an the like inakuwa na tani 7? Maajabu
Wala hujakosea Chief, kwani hiyo horse/ tractor ya Semi inauwezo wa kuvuta tela yenye mzigo kiasi gani? Au kuna horse yenye uwezo wa zaidi ya tani 10 kwa matumizi ya kawaida hapa kwetu?

Hiyo tani tano ni max capacity inayoweza beba kutokana na body yake.
 
Back
Top Bottom