Tani 5 Ndugu, samahani kwa kuchelewa kukujibu
FUSO Kiboko.Fuso yenyewe tani 4 had 4.5 hiyo canter ya wapi yenye tani 5? Hivi unajua kwamba horse ya scania an the like inakuwa na tani 7? Maajabu
Wala hujakosea Chief, kwani hiyo horse/ tractor ya Semi inauwezo wa kuvuta tela yenye mzigo kiasi gani? Au kuna horse yenye uwezo wa zaidi ya tani 10 kwa matumizi ya kawaida hapa kwetu?Fuso yenyewe tani 4 had 4.5 hiyo canter ya wapi yenye tani 5? Hivi unajua kwamba horse ya scania an the like inakuwa na tani 7? Maajabu