Mitsubishi for ladies

Mitsubishi for ladies

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i1395_5.bmp

i1394_4.bmp

i1393_3.bmp

i1392_2.bmp

i1391_1.bmp
 
.........lol kigari hiki hata kwa bure sichukui,kasura kake ka ajabu .
 
wala si kazuri kana sura ya ajabu ajabu kana wafaa wachina na wajapani
 
Hapo wanakaribisha ajali tu.

Sasa mdada ajipodoe huku anachomekewa na daladala itakuwa vipi?
 
Nadhani aliekitengeneza hiki kidude hakufikiria kuhusu africa....isue za daladala aka matatu kitapigwa pasi mpk kibaki chuma
 
but kako bomba kinoma,ila gari ya chini kiivyo sijazoea mie
 
wala si kazuri kana sura ya ajabu ajabu kana wafaa wachina na wajapani

Umejuaje? Bongo ladies wanataka magari makubwa ya kifahari, akiwa ndani utadhani kadoli fulani, kiti amevuta mbele hadi mwisho, anajaribu kuchungulia windscreen akiendesha
 
Umejuaje? Bongo ladies wanataka magari makubwa ya kifahari, akiwa ndani utadhani kadoli fulani, kiti amevuta mbele hadi mwisho, anajaribu kuchungulia windscreen akiendesha
inabidi wajifunze kuendesha kiustaarabu....
 
Umejuaje? Bongo ladies wanataka magari makubwa ya kifahari, akiwa ndani utadhani kadoli fulani, kiti amevuta mbele hadi mwisho, anajaribu kuchungulia windscreen akiendesha

hahahaha umenifurahisha thanks
 
It is a little sex car!!! Really looks nice for those who like portable like me!!!!🙂
 
Back
Top Bottom