darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Mende ipo kwenye 150/160MKama hii Mitsubishi Fuso (Tipper) imefikia bei hiyo, Scania mende itakuwa bei gani!
Unauza bei kubwa sanaNzuri sana hii Kwa biashara , ila ndio ivyo tu, Mwisho Mwisho wa mwaka huko nafikiri nitanunua kama hiyo
Ina Hali nzuri tu, najua ningekuwa na pesa hata ya kuanzia, mazungumzo kidogo yangekuwepo, sema sipo njema Kwa Sasa
Kwa Hesabu Rahisi Hapo Utapata Kitu Hiki Hapa ChiniBora kwa bei hiyo ununue howo tu
Magari Hayashikiki Kabisa Kwa Sasa, Iyo Mende Tunauza TSH 155M Hadi 160 Kwa SasaKama hii Mitsubishi Fuso (Tipper) imefikia bei hiyo, Scania mende itakuwa bei gani!
Kwamba howo jipya ni bei ganiKwa Hesabu Rahisi Hapo Utapata Kitu Hiki Hapa Chini
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Howo Tipper Kuanzia Namba DJ,DK, Au Around Hapo Ambayo Inakuwa Tayari Imeshapiga Kazi Ngumu Kwa Hapa Nchini Kwa Takribani Miaka 10 Na Ushee.
Ivyo Basi Tegemea Zile Tripu Mchanga Tripu Garage Na Utajikuta Ukibadilisha Madereva Kila Kukicha Ukilinganisha Na Iyo Fuso Hapo Ambayo Ndio Unaanza Nayo Kwa Hapa Nyumbani.
Kingine Imekuja Na Engine Imara Na Ngumu Na Yenye Uvumilivu Kama Mke Wa Mlevi😂 Ambapo Hapo Iwekee Wastani Wa Miaka 10 Ndio Ije Kuanza Kusumbua.
Nawasilisha
TSH 150,000,000/=🏷️ Na Usajili Hoz Na Tipper Ni TSH 190,000,000/=🏷️Kwamba howo jipya ni bei gani
Bei hajataja mbona nimeona km100,000tuu.Bora kwa bei hiyo ununue howo tu
Kataja ni 145 milionBei hajataja mbona nimeona km100,000tuu.
Duuh ni mpya!Kataja ni 145 milion
Ila Huko Unaposema Kwa Kununua Nyumba Sio Chini Ya Tano Unatakiwa Ufikirie Return On Investment Yake Itakuchua Miaka Ukilinganisha Na Iyo145m Bora ununue nyumba sio chini ya tano tena kwenye miji mizuri tu huko Tanzania ule Kodi. Na ni life time assert.
Ndio Ni MpyaDuuh ni mpya!
Inakuaje mpya na ina 100,000+ km mkuu?Ndio Ni Mpya
Mi pia apa nahitaji elimu kidogo lakini pia nimeona umeekwa mwaka 1996 hapa Wana maanisha nini?Inakuaje mpya na ina 100,000+ km mkuu?
1996 ni mwaka ambao gari imetengenezwa(YOM)Mi pia apa nahitaji elimu kidogo lakini pia nimeona umeekwa mwaka 1996 hapa Wana maanisha nini?
Sasa huo upya unakujaje kama gari limetengenezwa mwaka 96? Au wabongo hatujui kutofautisha kati ya used from Japan na mpya.1996 ni mwaka ambao gari imetengenezwa(YOM)