Mitsubishi Fuso Tipper inauzwa. Iko katika hali nzuri sana ,unanunua na kuanza kufanya kazi ,popote pale Afrika inafika ,bei ni 34 milioni maongezi yapo ,gari ipo mkoa wa Manyara, kwa mawasiliano zaidi.Gari haina dalali.
Wewe uliinunua bei gani? Mbona bei ya kuuzia ni kubwa kuliko bei ya kununulia kipindi iko 'mpya'?
Kipindi hiko (2005) tuliagiza Dubai Fuso kama hii na tulilipa milioni 21 tu.